You are here: Home » » Here Are The Lyrics To 'Kudinyana' by Collo & STL. Are They Misunderstood? Read On
Nairobi post
(STL)
Dinya, dinya
Hii track ntaidinya
dinya, dinya, dinya...
(Collo)
My days are always busy
for sheezy my neezy
naskia kizunguzungu ni ka nimepiga
tizi
whistling ni kupiga binja
ka wee ni mzungu basi piga ninja
nasema live hakuna kufichaficha
Unajua unataka na unaringaringa
Collo mbona umefanya ngoma kaa hii
umeshika jo wanati na mabarbie
kutoka kwenye floor ni saa ngapi
umekojolea hii beat shika nappy
(STL)
nabonga shonde
54 ni ka kobole
na nisipoidinya hii track naipiga dole
Hii track ntaidinya
dinya, dinya, dinya...
(Collo)
nimenyonji
juu ya hii beat si kuna orgy
na serikali si itanihoji
mihadarati mi nimekataa
nimekataa, nimekataa, ha!
(STL)
nina nyege jamaa
ya kudinya hii tracki na nimwage
jamaa
nisipodinya sitaki
na usilete balaa
unasema ni nani
jina yangu bei kali unadinywa na nani?
(Collo)
mazee nimembao
seremala kweli ametupa mbao
una nuku, shika mbao
mazee tafadhali shika thao
(STL)
shika nao, shika nao, shika nao
hii ego iko heavy si ni fatso
virgin Richard Branso
madem hunyamba fart so?
Hii track ntaidinya
dinya, dinya, dinya...
Category:
POST COMMENT
0 Comments:
Post a Comment