Kenyan Madness:campus vibe

on Thursday 19 December 2013 with 0 comments

1)Ukoexam room alafu chopi wa daro
anainua
mkono anasema question 4 iko na
shida na ushapata ansa....
2)Uko exam room alafu chopi fulani
anaitisha graph paper na ushamaliza
paper na hujaona mahali inatumika...
3)Uko exam room alafu invigilator anakam
anasema uruke question 6 kwanza
iko na shida watarectify baadaye,na hiyo
pekee ndio
ulikuwa umeweza...
4) Uko exam rum halafu unaona watu
wanatumia
ruler na hujui ni kwa nini
5)Uko exam rum,chopi anainua mkono
anadai
question 3 na 17 ni similar na umemaliza
na
hukunotice
6) Uko exam room na unaona watu wako
busy
wako na shughuli ww tu umezubaa
unashindwa
uende wapi,ufanye nn...maisha ni ivo.
7) uko exam room but the only thing you
rem is
your name and reg no. Hata course name
na
code hujui.. Unangoja que paper ndio
ucopy kwa
ans booklet
8)Unaomba rubber exam room na
hujaandika
chochote.
9)Uko exam room alafu invigilator anatoka
nje
kunyora na sa hizo ka chem kamekukalia
ukigeukia neiba unakuta anadoz
10)uko exam room mwenzako anaomba
extra
foolscap ya essay wakati wewe umeweka
hujafika
ata nusu foolscap na mlipewa mbili!
11)That akward moment kwa exam watu
wanchora
diagrams na hata ujui ni nini unafaa
kuchora....
unaanza kuchora invigilator

Category: campus vibe

POST COMMENT

0 Comments:

Post a Comment