You are here: Home » » Kinds of ladies men do not like
Nairobi vibes stories
Sa madame Tutaoa akina Nani Kama Hizi
ndo
Tabia Zenu.
1.Dame anaamka anakula breko alafu
anaweka
movie..anawoch na sa hio Vyombo zmejaa
kwa
sink nyumba aijaoshwa etc..mzazi/huzy
anakam
jioni anapata unawoch movie tu. Utakula
Movie??
2.Dame Friday ikifka yeye ndio Mama yao
kwa
Rave..anakunywampaka anawekelea panty
ju ya
kichwa..mafegi ndo zake na kila kitu. Sa
ww
ukikunywa ivo na mi nkunywe ivo ivo nani
atalea
watoto??
3:Dame anaamka after kutake breko
anaenda
kwa beshte zake..na kumbuka ameolewa!
musheene mpaka jioni. una expect nkirudi
jioni
nkupigie makofi??
4.Dame umejitolea ju yy ni hustler na ww
uko
waks unamuachiaga doh(soo Tano daily) ju
mnaishi pamoja ukirudi jioni dame amebuy
machipo..
Nairobi vibes,fake relationships
Category:
POST COMMENT
0 Comments:
Post a Comment